Sunday, December 17, 2006

SAJO AND JEY KITENGE

MA hommies Sajo and Jey with Jimaya and Jamaal, Then me and Sajo, followed by me again at Sarafina Bar Uswazi huku Bongoland, D-City and Last pic is Blogger and Jounalist Erick Kabendera akiwa katika kompyuta anayotumia kuandikia makala zake za education hapa gazeti la The Citizen.


Saturday, December 16, 2006

ITS ME PEOPLE!!
Nipo juu na Aina (sema Ayana) and then Melissa, she is now on her way now to South Africa, Aina is still in D-City she is having good time over here. People in Boston watch out, Aina is Tanzanian citizen! Am Kidding, but this is always her place! We love you Aina!

GIFT TO PETER BABA FELICIA
ITS hot in Dar, everything is different. Try come and check how things are done in D-City. Wazee walikuja kunipa big welcome in D-City na snap lingine lina show janki la madingi hawa, siku hizi naye ni daddy, hapo ni baada ya kuchill na Ridin Dirty.


Pengine zaidi ni hapo chini natazama namna Kolamu yangu inavyotengenezwa wakati nikiwa ughaibuni. Hapa ni Mwananchi Newsroom Karibu Makene, tulichoka kukusoma bila kukuona!

KARIBUNI PEOPLENAFUNGUA ukurasa mwingine, Gazeti Tando jipya, and Im gonna have to post some photo from my Nation members, Kasri nation. These people reside everywhere, they got no space to occupy! Come on my people, my nation, tu chill hapa katika taifa letu, hureeeeee!


Juu hapo ni mzee wa Ridin Dirty (Chamilionairre ambaye pia ni mkazi wa Kasri Nation) Big up Chamillionare for all the things ya doing for ya people in this nation. Nipo na Ridin Dirty and next photo with ma bro Sayeed.