Saturday, December 16, 2006

GIFT TO PETER BABA FELICIA
ITS hot in Dar, everything is different. Try come and check how things are done in D-City. Wazee walikuja kunipa big welcome in D-City na snap lingine lina show janki la madingi hawa, siku hizi naye ni daddy, hapo ni baada ya kuchill na Ridin Dirty.


Pengine zaidi ni hapo chini natazama namna Kolamu yangu inavyotengenezwa wakati nikiwa ughaibuni. Hapa ni Mwananchi Newsroom Karibu Makene, tulichoka kukusoma bila kukuona!

No comments: